Uncategorized

SVEN KOCHA MKUU WA SIMBA ATWAA TUZO YA KOCHA BORA WA VPL

admin August 7, 2020 7:47 pm

 

KOCHA Msaidizi wa Simba Suleiman Matola, leo Agosti 7 amepokea Tuzo ya Kocha Bora wa mwaka kwa niaba ya Sven Vandenbroeck ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba.


Sven ametwaa tuzo hiyo akiwapoteza makocha wenzake ikiwa ni pamoja na Hitimana Thiery wa Namungo na Arstica Cioaba wa Azam FC.

KAGERE ABEBA TUZO YA MFUNGAJI BORA VPL MANULA AWABURUZA MGORE NA BAROLA, ASEPA NA TUZO YAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply