Uncategorized

NANE WAKATWA MAZIMA KAGERA SUGAR, WAMO NYOSSO, SABATO NA MWASHIUYA

admin August 13, 2020 9:47 am

 


UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa unaachana na nyota wao tisa baada ya mikataba yao kuisha kwa msimu wa 2019/20.

Katibu wa timu hiyo, Ally Masoud amesema kuwa wamefanya hivyo kulingana na ripoti ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Meck Maxime.


“Wachezaji wapatao tisa mikataba yao imeisha na kuelekea msimu ujao hatutakuwa nao ndani ya kikosi tunawashukuru kwa huduma yao.


“Wachezaji ambao tumeachana nao ni :-Juma Nyosso, Ally Shomary, Juma Shemvuni,Majidi Bakari,Frank Ikobela,Evarist Mujwahuki,Kelvin Sabato na Geofrey Mwashiuya,”.

HUMUD WA MTIBWA SUGAR ‘AJIFUNGA’ MIAKA MIWILI NAMUNGO FC SIMBA KUANZAKUTAMBULISHA MAJEMBE HAYA YA KAZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply