Uncategorized

JEMBE LA YANGA LATUA NAMUNGO FC

admin August 16, 2020 10:47 am

 

JAFFARY Mohamed rasta aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Yanga ameibukia Namungo FC baada ya kuachwa na Yanga.

Nyota huyo ambaye ni kiraka amesaini dili la mwaka mmoja ndani ya Klabu ya Namungo. 

Msimu wa 2019/20 alikuwa chaguo la kwanza la aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga,  Luc Eymael ambaye alifutwa kazi Julai 27 kutokana na kutoa kauli zilikuwa na viashiria vya ubaguzi wa rangi.

Jaffary amesema kuwa kazi yake ni mpira hana tatizo atapambana kufanya vizuri.

SHARAF SHIBOUB ATAJWA KUINGIA ANGA ZA YANGA,NDANI YA SIMBA PANGA LINAMHUSU JEMBE LINGINE LINALOTAJWA KUMALIZANA NA SIMBA HILI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply