Uncategorized

BREAKING: YANGA V SIMBA OKTOBA 18

admin August 17, 2020 8:47 am


MECHI ya kwanza ya watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba inatarajiwa kuchezwa  Oktoba 18, Uwanja wa Mkapa, Dar.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema hayo leo, makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania ambapo kuna mkutano wa waandishi wa habari.

Leo Agosti 17, ratiba rasmi inatolewa kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Septemba 6.
KICHAPO CHA MABAO 2-1 MBELE YA SEVILLA SABABU YA MZOZO WA BRUNO NA VICTOR ISHU YA USAJILI, YOUTUBE HAKUNA MCHEZAJI MBAYA, TIMU ZA BONGO ZIBADILIKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply