Uncategorized

PSG WATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

admin August 18, 2020 9:47 pm

 

PSG usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon. 

Mchezo huo wa hatua ya nusu fainali ulikuwa na ushindani mkubwa na mwisho wa siku PSG wakaibuka wababe na kutinga mazima hatua ya fainali.

Kipindi cha Kwanza PSG ilitupia mabao mawili ambapo bao la Kwanza lilipachikwa na Marquinhos dakika ya 13 na dakika ya  Di Maria alifunga bao la pili dakika ya 42 na bao la tatu na la mwisho lilipachikwa na Benatti dakika ya 56.

Fainali ya mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuchezwa Jumapili, Agosti 23 na mshindi kati ya mchezo wa Bayern Munich na Lyon.

TANO KALI ZA MWANZO KWA YANGA HIZI HAPA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply