Uncategorized

MTIBWA SUGAR YAMALIZANA NA MAJEMBE HAYA MATATU

admin August 23, 2020 6:47 am

 KLABU ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake Morogoro huku ikitumia Uwanja wa Gairo kwa mechi za nyumbani  ambazo hazina idadi kubwa ya mashabiki huku zile za Yanga na Simba zikipigwa Uwanja wa Jamhuri umekamilisha usajili wa wachezaji watatu.

Nyota wa kwanza kumalizana na Mtibwa Sugar alikuwa ni kiungo Abal Kassim Hamis ambaye amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo akitokea Klabu ya Azam FC.

Wa pili alikuwa ni George Makang’a kutoka Namungo naye ni kiungo.

Mchezaji wa tatu ni Baraka Majogoro rasta aliyekuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania naye pia ni kiungo.

Majogoro amesema kuwa anaamini msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa nao watapambana kufikia malengo ya timu.

HAYA HAPA MAJEMBE SABA YA KAZI YATAKAYOTAMBULISHWA LEO NDANI YA AZAM FC BERNARD MORRISON ‘AWACHETUA’ MASHABIKI WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply