Uncategorized

LIONEL MESSI BADO YUPOYUPO NDANI YA BARCELONA

admin September 4, 2020 5:47 pm

 Lionel Messi ametangaza kusalia katika kikosi cha Barcelona kwa msimu wa 2020/2021 kufuatia ugumu wa masuala ya kisheria katika mkataba wake yanayoweka zuio la yeye kuikacha klabu hiyo kwa muda huu.

Nyota huyo alikuwa anataka kuondoka ndani ya Barcelona baada ya timu hiyo kufungwa mabao 8-2 na Klabu ya Bayern Munich kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. 

Katika maelezo yake, Messi amesema “Sikuwa na furaha nikataka kuondoka,nabakia kwenye klabu ili nisiingie kwenye mvutano wa kisheria. Utawala wa Bartomeu ni janga kwa klabu.”

Timu iliyokuwa inapewa nafasi kupata saini ya nyota huyo ilikuwa ni Manchester City.

SABABU YA MEDDIE KAGERE KUJENGA URAFIKI NA BENCHI HII HAPA YANGA YAKOMAA NA MORRISON ALIYESAINI SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply