Uncategorized

MECHI YA KIRAFIKI: YANGA 2-0 MLANDEGE

admin September 16, 2020 5:47 pm

Yanga 2-0 Mlandege
Uwanja wa Azam Complex

Dakika ya 61 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Mlandege 
Goal dakika ya 59, Tunombe Mukoko 
Dakika ya 50
MCHEZO wa kirafiki leo Septemba 16 Uwanja wa Azam Complex kati ya Yanga na Mlandege ni kipindi cha pili.


Yanga inaongoza kwa bao 1-0 ambalo limefungwa ba nyota mpya wa kikosi hicho, Wazir Junior aliyeibukia kikosini humo akitokea Klabu ya Mbao. 

Amepachika bao hilo dakika ya 40 kwa mkwaju wa penalti baada ya mpira uliopigwa ndani ya box na Haruna Niyonzima mwamuzi kutafsri kuwa mchezaji wa Mlandege aliunawa.


KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MLANDEGE FC, UWANJA WA AZAM COMPLEX SABABU YA MANARA KULIPA MILIONI TANO TFF MAPEMA HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply