Uncategorized ISHU YA MASHABIKI WA SIMBA KUPIGWA JANA, YANGA WATOA TAMKO admin September 28, 2020 7:47 am UONGOZI wa Klabu ya Yanga umelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wa timu hiyo kuonekana wakiwafanyia vurugu mashabiki wa Simba jana Septemba 27. Taarifa rasmi iliyotolewa hii hapa:-
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.