Uncategorized

ISHU YA MAPUNGUFU YA MKATABA WA MORRISON, SIMBA YAJIBU KIMTINDO

admin October 1, 2020 8:47 pm

 


BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na mabosi wake wapya wa sasa Simba una mapungufu, uongozi wa Simba umetoa jibu la ‘kimtindo’.


Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram alitupia ujumbe ukisindikizwa na picha ya Morrison akiwa ansaini ameandika kwamba :_


KESHO NI DODOMA JIJI V RUVU SHOOTING UWANJANI RAUNDI YA TANO RATIBA KAMILI VPL HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply