Uncategorized

VPL: JKT TANZANIA 0-3 SIMBA

admin October 4, 2020 1:47 pm

 

JKT Tanzania 0-3 Simba

Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Zinaongezwa 2
Dakika ya 45 zimekamilika
Kipindi cha Kwanza dakika ya 43 Kagere anapewa huduma ya Kwanza.

Kipindi cha Kwanza mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba, Uwanja wa Jamhuri.


Simba inaongoza kwa mabao 3-0 ikiwa ni kipindi cha Kwanza.


Mabao ya Simba yamefungwa Meddie Kagere dakika ya 5 ,40 na Chris Mugalu dakika ya 6.

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA JKT TANZANIA KIKOSI CHA JKT TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply