Uncategorized

VPL: SIMBA 2-0 KAGERA SUGAR

admin November 4, 2020 2:47 pm


 KIKOSI cha Simba kimetangulia leo ndani ya dakika 45 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru dhidi ya Kagera Sugar.


Kwa sasa tayari kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Uhuru.


Bao la kwanza kwa Simba limefungwa na nahodha John Bocco kwa mkwaju wa penalti baada ya mwamuzi kutafsri kuwa Hassan Dilunga amechezewa faulo na David Luhende ndani ya 18.


Bao hilo limepachikwa dakika ya 42 kwa mkwaju ambao ulimpoteza mlinda mlango Benedict Tinocco.


Iliwachukua dakika mbili Simba kufunga bao la pili kupitia kwa  Said Ndemla dakika ya 45+3 kwa pasi ya Clatous Chama.

TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YAPIGA MTU MKONO AFRIKA KUSINI ZILIZOSHUKA LIGI KUU BARA ZINA MAISHA MAGUMU FDL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply