Uncategorized

MECHI ZA SIMBA NA NAMUNGO ZAPELEKWA MBELE

admin November 23, 2020 3:47 pm

 


BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imeiondoa Kwenye ratiba michezo miwili, namba 116 ambao ulikuwa ni dhidi  ya Simba v KMC na mchezo namba 119 ulikuwa kati ya Namungo v Biashara United. 


Taarifa iliyotolewa na TPLB kwa vyombo vya Habari leo Novemba 23 imeeleza kuwa mechi hizo zimevadilishwa tarehe ili kulipa nafasi timu za Simba na Namungo FC kufanya maandalizi Kwenye mechi za kimataifa.


Taarifa hiyo imeeleza hivi:-




JOHN BOCCO MFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE LIGI KUU BARA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply