Uncategorized

BALAA LA MNATA METACHA LIPO HIVI

admin November 24, 2020 4:47 am

 


Ameanza langoni mechi 10 amefungwa mabao matatu kati ya manne ambayo Yanga imefungwa msimu wa 2020/21.


Uwanja wa CCM Kirumba alifungwa bao moja na Hassan Kabunda  wakati KMC 1-2 Yanga.


Uwanja wa Mkapa amefungwa mabao mawili ilikuwa Yanga 1-1Simba ni Joash Onyango alimtungua na Yanga 1-1 Namungo,  Stephen Sey alimtungua.


Anaitwa Metacha Mnata kipa namba moja wa Yanga.

ORODHA YA WACHEZAJI WA SIMBA WATAKAOIFUATA PLATEAU UNITED YA NIGERIA KIMATAIFA HUYU NDIYE BEKI ANAYETAKIWA NA SIMBA, BEI YAKE ACHA KABISA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply