Uncategorized

BALOZI WA TANZANIA AITEMBELEA KAMBI YA SIMBA NIGERIA

admin November 26, 2020 4:47 pm


BALOZI wa Tanzania nchini Nigeria Benson Bana ametembelea kambi ya Simba jijini Abuja na kupewa jezi ya Simba itakayotumika Kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. 


Simba Novemba 29 itamenyana na Plateau United mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika


Kiongozi huyo amesema kuwa ana imani ya kuona timu ya Simba ikipata matokeo chanya Kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.


Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kuwa maandalizi yapo sawa na wachezaji wapo tayari kwa mchezo huo kabla ya ule wa marudio utakaochezwa Dar.

KIUNGO LWANGA WA UGANDA ATAJWA KUWA MBADALA WA FRAGA SIMBA BREAKING:CIOABA AFUTWA KAZI AZAM FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply