Uncategorized

VIDEO: SIMBA YAELEZA KUHUSU ISHU YA CHAMA, FAINALI DHIDI YA YANGA

admin January 13, 2021 9:47 am


SELEMAN Matola, Kaimu Kocha wa Klabu ya Simba amesema kuwa anaamini kuwa mchezo wa leo utakuwa ni mgumu na atawakosa nyota wake ambao hawapo kambini ikiwa ni pamoja na Clatous Chama kwa kuwa mashindano yana utaratibu wake.

VIDEO: KOCHA KAZE AWEKA WAZI NAMNA ATAKAVYOANZA MBELE YA SIMBA FAINALI YA LEO KOMBE LA MAPINDUZI NA IWE NI YA MAPINDUZI KWELI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply