Yanga SC

BREAKING:OFISA HABARI WA YANGA,BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU

admin January 27, 2021 6:47 pm

 


BREAKING: OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kutojihusisha na soka nje na ndani ya Tanzania kwa kutolipa faini ya milioni tano aliyopaswa kulipwa mwaka jana.


Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) imeeleza kuwa mbali na Bumbuli pia Katibu wa Klabu ya Lipuli FC, Julius naye amefungiwa. Taarifa imeeleza namna hii:-


MORRISON ANG’ARA, SIMBA IKIUA 4-1 DHIDI YA WASUDANI KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA GUINEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply