news

UCHAGUZI RT KINAWAKA LEO

admin January 30, 2021 6:47 am


BARAZA la Michezo Tanzania (BMT), leo linatarajiwa kusimamia uchaguzi mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT).

Uchaguzi huo ni wa kikatiba na unatarajiwa kujaza nafasi mbalimbali za uongozi katika chama hicho.

Akizungumzia kuhusu uchaguzi huo, Katibu Mkuu wa RT, Ombeni Mzavara amesema: “Maandalizi yote ya uchaguzi mkuu wa chama cha riadha Tanzania yamekamilika.

“Kwa mwaka huu tunatarajia uchaguzi huu utasimamiwa na BMT, ambao wamehusishwa katika mchakato mzima wa uchaguzi tangu utaratibu wa kuchukua na kurudisha fomu,”

JOSE MOURINHO:KUKASIRIKA KWA WACHEZAJI KAWAIDA WAKIFUNGWA LIVERPOOL YATAJWA KUMALIZANA NA BEKI LONG

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply