Taifa Stars

KUFUZU AFCON: FT TANZANIA 1-0 LIBYA

admin March 28, 2021 1:51 pm

 


Uwanja wa Mkapa

Tanzania 1-0 Libya
Kufuzu Afcon

Tanzania 0-0 Libya

Dakika ya 45+1 Msuva goooooal

Zinaongezwa dakika 2

Dakika ya 45 Libya wanapeleka mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 44, Mkude anaonyeshwa kadi ya njano, Fei Toto anaotea

Dakika ya 38 Samatta anafanya jaribio zuri linakwenda nje kidogo ya lango 

Dakika ya 35 Kaseke anachezewa faulo na kipa wa Libya wakati huu anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 33 Kibabage anakosa nafasi ndani ya 18 

Dakika ya 29 Dilunga anapiga kona inaokolewa na kipa wa Libya.

Dakika ya 27 Manula anaokoa hatari

Dakika ya 25, Simon Msuva anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18.

Dakika ya 24, Kaseke anachezewa faulo.


SAIDO KURUDISHWA MAPEMA YANGA SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA MANULA KUPIGIWA HESABU NA TIMU KUBWA ZA AFRIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply