Yanga SC

RATIBA YA MECHI ZA YANGA LIGI KUU BARA APRILI

admin March 31, 2021 12:47 pm


KIKOSI cha Yanga kina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mechi zake nne kwa mwezi Aprili baada ya leo Machi 31 ratiba kutoka.

Hizi hapa ni mechi nne za vinara wa Ligi Kuu Bara wenye pointi 50 baada ya kucheza jumla ya mechi 23 namna hii:- Yanga dhidi ya KMC, Uwanja wa Mkapa itakuwa ni Aprili 10.

Yanga dhidi ya Biashara United, itakuwa ni Aprili 17, Uwanja wa Mkapa.

Yanga dhidi ya Gwambina, Aprili 20, Uwanja wa Mkapa

Yanga dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa, Aprili 25.

HIVI NDIVYO BOCCO,MUGALU NA KAGERE WALIVYOHUSIKA KATIKA MAGOLI 46 YA SIMBA CHEKI MECHI ZA SIMBA NDANI YA APRILI KWENYE LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply