Namungo FC

KOMBE LA SHIRIKISHO: NAMUNGO 0-3 RAJA CASABLANCA

admin April 21, 2021 2:48 pm

 


WAWAKILISHI wa Tanzania hatua ya Kombe la Shirikisho, Namungo FC wakiwa hatua ya makundi leo wanaipeperusha bendera ya Tanzania kwa kusaka ushindi mbele ya Raja Casablanca. 


Kwa sasa ni kipindi cha pili,  ubao unasoma Namungo 0-3 Raja Casablanca. 


Mchezo wa kwanza Namungo ikiwa ugenini ubao ulisoma Raja Casablanca 1-0 Namungo 

Relliants Lusajo anatoka anaingia Shiza Kichuya, Sixtus Sabilo Sabilo anaingia Erick Kwizera ni kipindi cha pili.


Mabao ya Raja Casablanca yametupiwa na Iliassa Hadadd dk 9, Dk 14 Fabrice Ngoma na Dk 36 Z.Habti

VIDEO: MBATHA AFUNGUKIA KUHUSU KOCHA MPYA, ISHU YA NTIBANZOKIZA PIA SIMBA YASEPA NA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply