News

VIDEO: TSHABALALA RASMI NI MALI YA SIMBA

admin April 28, 2021 5:50 pm


BEKI wa kushoto wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ amemalizana rasmi na mabosi wake baada ya kuenea tetesi kwamba anaweza kuondoka katika kikosi hicho kutokana na mkataba wake kubakiza miezi miwili, kuongeza kwake mkataba inamaanisha kwamba bado yupoyupo Simba, katibu wa Simba Arnold Kashembe aliweka wazi kuwa suala la muda wa mkataba wake aliosaini atafutwe Mtendaji Mkuu, Barbra Gonzalez.

 

VIDEO: MWALIMU KASHASHA AYACHAMBUA MABAO YA SIMBA 3-1 DODOMA JIJI UWANJA WA AZAM COMPLEX KUFANYIWA MABORESHO MENGINE MAKUBWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply