Yanga SC
BABA LEVO: KAMA YANGA IKIFUNGWA NA SIMBA DIAMOND ANIFUKUZE KAZI
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 8, shabiki wa Yanga na msanii, Baba Levo amesema kuwa anaamini timu yake itashinda na kuweka ahadi kwamba ikiwa itafungwa basi atamwambia bosi wake Diamond amfukuze kazi
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.