Simba SC

KAGERA SUGAR: SIMBA NI TIMU KUBWA,USIPOKUWA NA MBINU UTAFUNGWA MABAO MENGI

admin May 4, 2021 9:47 pm


KIPA wa kikosi cha Kagera Sugar, Chalamanda ambaye alikaa langoni wakati timu yake ikikubali kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora amesema kuwa alikuwa anapoteza muda ili kuwazuia wapinzani wao Simba wasiwafunge mabao mengi.


 Ameweka wazi kwamba nyota wa Simba Bernard Morrison na Meddie Kagere ni wachezaji wazuri na Simba ni timu nzuri. Kutokana na tabia hiyo kwenye mchezo huo alionyeshwa kadi moja ya njano.

 

BABA LEVO: KAMA YANGA IKIFUNGWA NA SIMBA DIAMOND ANIFUKUZE KAZI SIMBA WAAMBIWA KWAMBA WAKIWADHARU YANGA WATAFUNGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply