News

VIDEO: MCHEZAJI BORA WA SIMBA QUEENS AWEKA WAZI MIPANGO IJAYO

admin May 22, 2021 11:47 am

HUYU hapa mchezaji bora wa kikosi cha Simba Queens inayonolewa na Kocha Mkuu, Mussa Hassan, amesema kuwa tuzo ambayo ameipata inamuongezea hamasa ya kufanya vizuri wakati ujao ili timu iweze kufikia malengo ambayo wamejiwekea na msimu ujao pia wanahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake. Pia ameweka wazi mipango yao katika mashindano ya kimataifa.

 

SIMBA KAZINI LEO, WATAMBA KUFANYA KWELI MBELE YA KAIZER CHIEFS MBAPPE: KUHUSU MKATABA WANGU, SUBIRINI KWANZA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply