Azam FC

AZAM FC YATINGA HATUA YA NUSU FAINALI

admin May 26, 2021 3:47 pm


RHINO Rangers ikiwa Uwanja wa Kambarage leo Mei 26 imetolewa katika hatua ya robo fainali katika mchezo uliochezwa leo.

Baada ya dakika 90 ubao hu9 umesoma Rhino Rangers 1-3 Azam FC.

Ni Seleman Abdalah alipachika bao kwa Rhino Rangers huku yale ya Azam FC yalifungwa na Ayoub Lyanga,  Agreý Morris na Obrey Chirwa.

Azam FC inatinga hatua ya nusu fainali ambapo inamsubiri mshindi wa mchezo wa hatua ya robo fainali kati ya Simba na Dodoma Jiji urajaochezwa Uwanja wa Mkapa.

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA DODOMA JIJI BILIONI 225.6 ZA AZAM MEDIA ZILETE CHACHU YA MAFANIKIO KWENYE SOKA LETU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply