video

VIDEO: SIMBA YAMPA POLE MASAU BWIRE, AKUBALI MATOKEO

admin June 4, 2021 4:48 am


MTENDAJI Mkuu wa Simba, (CEO), Barbara Gonzalez amemwambia Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire kwamba yote  ni matokeo na amempa pole kwa kupoteza mchezo wao walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba, Jana Juni 3, kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, ubao ulisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba. 

 

VIDEO: MASAU BWIRWE, TUMEPARURWA SANA, MBAPPE: MESSI NA RONALDO HAWALINGANISHIKI, WAMEVUNJA SHERIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply