video
VIDEO: USAJILI WA MEDDIE KAGERE YANGA UPO HIVI
USAJILI wa nyota wa Simba Meddie Kagere ndani ya Yanga taarifa zinaeleza kuwa viongozi wa Yanga wanasubiri mkataba wake uishe ili waweze kumchukua bure, meneja wa Kagere Patrck Gambuka yeye amesema kuwa ikiwa Yanga wanamuhitaji ni suala la kukaa mezani.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.