Azam FC
VIDEO: OBREY CHIRWA MBALI NA MPIRA ANALIMA MATIKITI
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina, Obrey Chirwa amesema kuwa mbali na mpira amewekeza kwenye kilimo jambo ambalo limekuwa likimsaidia pia ambapo amesema kuwa analima nyanya, tikiti na karoti.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.