Yanga SC
VIDEO: SERIKALI YATAJA KINACHOIPONZA YANGA KUSHINDWA KUPATA MATOKEO MAZURI
SERIKALI kupitia kwa Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imetaja kuwa miongoni mwa sababu ambazo zinafanya timu nyingi kushindwa kupata matokeo mazuri ikiwa ni pamoja na Yanga ni ubovu wa viwanja vya mikoani jambo ambalo linawafanya wapate tabu.
Kupitia bajeti iliyowasilishwa jana, Juni 10 Nchemba ameomba Serikali iweze kutoa punguzo katika gharama ya nyasi bandia.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.