video
VIDEO: KUNA WACHEZAJI WANAJUA GOLI KULIKO MBWANA SAMATTA
MWAKATALIMA, shabiki wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa ikiwa watatafutwa wachezaji wazuri kuna uhakika hapo baadaye kuwa na timu nzuri ya taifa. Jana Juni 13, Stars ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ameongeza kuwa kuna wachezaji wazuri ambao wanacheza Ligi Daraja la Kwanza na wanalijua lango kuliko akina Mbwana Samatta.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.