video

VIDEO: SIMBA KUINASA SAINI YA KIUNGO OCHOWECHI WA NIGERIA

admin June 15, 2021 9:47 pm

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, anahitaji wachezaji watatu ambapo kati ya hao ni pamoja na beki, kiungo mmoja na mshambuliaji. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye rada za Simba ni pamoja na kiungo, Oche Ochowechi raia wa Nigeria anayecheza ndani ya Klabu ya Plateau United. 

 

VIDEO: WASAUZI WAINGILIA DILI LA USAJILI WA MSHAMBULIAJI WA YANGA KAIZER CHIEFS YAIPA YANGA MASTAA WAWILI, SIMBA YARUDI KWA LUHENDE, NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply