Ligi Kuu
LIGI KUU BONGO KAZI INAENDELEA LEO
LEO Juni 20 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi katika viwanja vitatu tofauti ambapo tayari Kagera Sugar wameanza kazi mbele ya Ihefu FC ni Uwanja wa Kaitaba.
Saa 10:00 Biashara United itamenyana na JKT Tanzania katika Uwanja wa Karume. Hii ni mechi ya mwisho kwa Biashara United katika uwanja wake wa nyumbani kwa msimu huu.
Saa 1:00 usiku Yanga SC watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Mwadui FC, Uwanja wa Mkapa.
Saa 1:00 usiku Yanga SC watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Mwadui FC, Uwanja wa Mkapa.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.