video

VIDEO: YANGA YAMTETEA FISTON ISHU YA KUKOSA PENALTI

admin June 21, 2021 5:47 am

ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga amesema kuwa wachezaji wameonyesha utofauti katika kucheza ndani ya uwanja, pia ameongeza kuwa mazingira yalivyo watu wanafurahia matokeo mazuri jambo ambalo ni jema kwao.


 Kuhusu Fiston Abdulazack amesema kuwa inatokea kushindwa kufanya vizuri jambo ambalo linamuumiza wataendelea kumpa sapoti kwa kuwa wanajenga timu hivyo kukosa kwake penalti sio tatizo kwani hata Messi naye huwa anakosa.

 

VIDEO: ALIYEMTUNGUA SHIKALO MABAO MAWILI AMETIMIZA AHADI ALIYOMPA MAMA BALAA LA LUIS NI MGUU WAKE WA KUSHOTO, WATUPIA 6

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply