news

BREAKING:KELVIN JOHN ASAINI DILI LA MIAKA MITATU GENK

admin June 25, 2021 2:49 pm


BREAKING: MTANZANIA Kelvin John amesaini dili la kuitumikia Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.

John ambaye ni mshambuliaji amesaini dili la miaka mitatu baada ya kufikisha umri wa miaka 18 kwa kuwa alikuwa anasubiri kufikisha miaka 18 ili aweze kusaini dili la kuitumikia timu hiyo.

Hivyo atakuwa ndani ya Genk ya Ubelgiji ambayo alicheza pia Mtanzania Mbwana Samatta moaja 2024.

NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO: BIASHARA UNITED 0-1 YANGA SIMBA SC YAIZIDI KETE AZAM FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply