news

SportPesa YATOA MKWANJA MREFU KWA MSHINDI WA JACKPOT

admin June 25, 2021 12:49 pm

 


MOHAMED Seif Khalfan ameibuka kuwa mshindi wa bonasi ya Jackpot ya SportPesa.

Khalfan ni mshindi wa bonasi ya Jackpot ni mkazi wa Dar es Salaam amekabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 20,887,265 baada ya ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya SportPesa ambayo kwa sasa ni shilingi 338,518,100.

KMC WAFUNGUKA BRYSON KUTUA YANGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO: BIASHARA UNITED 0-1 YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply