Uncategorized

VIDEO: NAMNA MANJI ALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE KWENYE MKUTANO MKUU

admin June 27, 2021 1:47 pm

KLABU ya Yanga leo Juni 27, 2021 wanafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa, miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji na alipokelewa kwa shangwe kubwa.

 

GOMES ANAAMINI KWAMBA WATASHINDA MBELE YA YANGA ROONEY AMPIGA BENCHI GREALISH, AANZA NA RASHFORD DHIDI YA UJERUMANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply