video

VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI

admin June 27, 2021 5:47 am

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ilikuwa ngumu kwake kupata ushindi jana Juni 26 mbele ya Azam FC kwa kuwa ulikuwa ni mchezo mgumu hasa kwa kipindi cha kwanza jambo ambalo lilimfanya abadili mbinu kipindi cha pili.


 Ameongeza kuwa anafurahi kuona wachezaji wake wakiwa wametinga hatua ya fainali na ilikuwa ni malengo ya Simba kuweza kushinda kila mataji ambayo wanayatarajia.

 Kuhusu kufanisha Yanga na Azam FC amesema kuwa kuna utofauti kati ya hizo timu ila imani yake ni kwamba Simba ni timu bora huku akiwashuruku mashabiki na kuwaambia kwamba anawasubiri kwenye Karikaoo Dabi Julai 3.

 

YANGA YAWAITA WANACHAMA KWA WINGI KUWA SEHEMU YA HISTORIA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply