Yanga SC

YANGA YATENGA BILIONI 7 ZA KUIVUA UBINGWA SIMBA SC MSIMU UJAO

admin June 27, 2021 10:20 am


Klabu ya Yanga imetenga bajeti ya Sh7, 984, 406, 422 msimu wa 2021/2022.

Bajeti hiyo imetolewa kwa wanachama kwenye mkutano mkuu unaoendelea kwenye ukumbi wa DYCC, Dar es Salaam.

Katika bajeti hiyo, klabu ya Yanga imeainisha kukusanya Sh8, 149, 000, 000 kutoka kwenye udhamini, jezi, match day, social media na ada za uanachama.

Katika udhamini, Yanga imeanisha kukusanya Sh4, 901,736,274 wakati kwenye mapato ya jezi itakusanya Sh350 milioni.

Ada za wanachama klabu hiyo itakusanya Sh 2,040,000,000, match day Sh565 Milioni na kwenye social media Sh960 milioni.

MKUTANO MKUU YANGA : MANJI ATUA NA KUPAGAWISHA WANACHAMA SARPONG , NCHIMBI KUIKAMUA YANGA BILIONI 4.9 KWA MISHAHARA TU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply