news

KARIA APITISHWA NA KUWA MGOMBEA PEKEE WA URAIS TFF

admin June 29, 2021 11:47 am


MGOMBEA wa nafasi ya Urais katika Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Wallace Karia amepenya kwenye mchujo wa awali na kumfanya awe mgombea pekee wa Urais wa TFF.


Hii ni baada ya Hawa Mniga pamoja na Evance Mgeusa kikosa vigezo vinavyokidhi kwenda hatua inayofuata baada ya mchujo uliofanywa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF.

Kwa maana hiyo Wallace Karia anasubiri kwenda kuthibitishwa na Mkutano mkuu na si kumpigia Kura.


Kwa mujibu wa Benjamin Kalume Makamu Mwenyekiti kamati ya Uchaguzi TFF.
SIMBA YAIKIMBIZA YANGA NDANI YA DK 450, KAZI JULAI 3 ORODHA YA WALIOPITISHWA MCHUJO WA AWALI KUGOMBEA TFF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply