news

VIDEO: MENEJA WA METACHA MNATA AFUNGUKIA ISHU NZIMA YA MCHEZAJI WAKE KUIBUKIA SIMBA

admin June 29, 2021 5:47 am

MENEJA wa kipa wa Yanga, Metacha Mnata, amesema kuwa hajawahi kuelemewa na mchezaji yoyote hata siku moja na anajua namna ya kuishi nao na kufanya nao kazi.

 
Pia ameweka wazi kwamba aliwahi kuwa meneja wa timu nzima zaidi ya 30 ndani ya Azam FC ikiwa ni pamoja na John Bocco, Aishi Manula na aliweza kubeba kombe. Kuhusu suala la Mnata ameweka wazi kwamba ni suala la mapito na linatokea kwenye mpira.Pia amefunguka kuhusu suala la Mnata kusajiliwa Simba.

 

MBAPPE AKWAMISHA NDOTO ZA UFARANSA KUTINGA HATUA YA ROBO FAINALI GOMES : TUKIAMUA HAKUNA WAKUTUZUIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply