video

VIDEO: ISHU YA LUIS KUSAJILIWA YANGA SIMBA YAFUNGUKA

admin July 1, 2021 4:47 pm

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amefungukia ishu ya mchezaji wao Luis Miquissone kuelezwa kwamba yupo kwenye hesabu za kujiunga na Yanga. 


Ameongeza kuwa Luis ni nyota wao na ana mkataba na timu hiyo hivyo kwa timu ambayo inamuhitaji kwa Tanzania iweke dola milioni 10. 

 

TFF WAITWA MAHAKAMANI, KUJIELEZA KESHO ORODHA YA WASIMAMIZI NA MAPILATO WA MECHI YA SIMBA V YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply