video

VIDEO: KIPIMO CHA NABI KIMETIMIA, TUNAHITAJI MATAJI MATATU

admin July 4, 2021 9:47 am

FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga ameweka wazi kwamba tayari vijana wameshajua namna ya kuendelea kupata ushindi ambapo kuelekea kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho wanaamini kwamba watakwenda kushinda mbele ya Simba katika mchezo ujao huku wakiwa na imani kwamba wana uwezo wa kutwaa ubingwa wa ligi, Kombe la Shirikisho na lile la Mapinduzi ambalo wameshalichukua.

 

REAL MADRID HESABU ZAO KWA VARANE ZIMEGOMA REKODI ZA GOMES NDANI YA LIGI KUU BARA HIZI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply