video

VIDEO: MSHAMBULIAJI WA ZAMBIA, MOSES PHIRI ANAKUJA SIMBA

admin July 8, 2021 2:47 pm

MSHAMBULIAJI Moses Phiri raia wa Zambia ameweka wazi kwamba yupo kwenye mpango wa kujiunga na Simba msimu ujao kwa kuwa mabosi wa timu yake ya Zanaco wamebariki suala hilo hivyo ni jambo la kusubiria kuona mambo yatakavyokuwa.


Nyota huyo amebainisha kwamba kumekuwa na mazungumzo na mabosi wa timu hizo mbili kati ya Simba na Zanaco kuhusu yeye kuja Bongo.

 

JEMBE JIPYA LA YANGA LABAKIZA DAKIKA 180 KUIBUKA KIKOSINI YANGA: KIGOMA TUNAWAFUNGA TENA SIMBA, WAMETUSHINDWA KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply