video
VIDEO: COASTAL UNION WAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho Julai 11 kati ya Simba v Coastal Union, kocha wa Coastal Union amesema kuwa wapo kwenye nafasi mbaya hivyo watapambana kupata ushindi mbele ya Simba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.