video

VIDEO:LAMINE NA SARPONG NDO BASI TENA YANGA

admin July 10, 2021 1:47 pm

IMEFAHAMIKA kuwa nyota wawili wa kikosi cha Yanga ambao ni Michael Sarpong huyu ni mshambuliaji pamoja na beki Lamine Moro wote raia wa Ghana hawatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao wa 2021-22 na kwa sasa taarifa zinaeleza kuwa mastaa hao hawapo kambini.

 

TUJIFUNZE KUPITIA AKILI KUBWA YA BERNARD MORRISON VIDEO: COASTAL UNION WAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply