Ligi Kuu

HUU HAPA UJUMBE AMBAO MASHABIKI WA COASTAL UNION WAMEMUACHIA MGUTO NA MGUNDA

admin July 17, 2021 3:47 am


USOME ujumbe ambao mashabiki wa Coastal Union wameuacha kwa viongozi wao ikiwa ni pamoja na Juma Mgunda ambaye ni Kocha Mkuu wa timu hiyo kutoka Tanga.

Timu hiyo imekuwa katika mwendo wa kusuasua msimu wa 2020/21 kwa kupata matokeo ambayo si rafiki kwao na mchezo wao wa mwisho utaamua hatma yao, ujumbe wenyewe huu hapa:-

YANGA: BADO HATUJAMALIZA LIGI, YATUMA SALAMU DODOMA JIJI MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply