Yanga SC

RAMADHAN KABWILI AANZA KWA MARA YA KWANZA

admin July 18, 2021 1:47 pm


KIPA namba tatu wa Yanga, Ramadhan Kabwili leo Julai 18 ameanza kikosi cha kwanza katikq mchezo wa Ligi Kuu Bara. 

Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Kabwili kuanza kikosi cha kwanza mbele ya Dodoma Jiji.

Yanga ikiwa imecheza jumla ya mechi 33 alikuwa hajapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza hivyo leo anafunga hesabu.

Nafasi ya kwanza ilikuwa inachukuliwa na Metacha Mnata na ile ya pili ilikuwa mikononi mwa Faroukh Shikalo.

UWANJA WA MKAPA MO ATIA TIMU VPL: SIMBA 2-0 NAMUNGO FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply