News UWANJA WA MKAPA MO ATIA TIMU admin July 18, 2021 1:47 pm MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji, ‘Mo’ ni miongoni mwa waliohudhuria mchezo wa leo Uwanja wa Mkapa. Simba inacheza na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo Simba itakabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.