Ligi Kuu

COASTAL UNION LEO KUONA MECHI YA MWISHO JERO TU

admin July 18, 2021 1:47 pm

 Mechi ya mwisho leo ndani ya Ligi Kuu Bara kwa Coastal Union kiingilio kwa viti vya kawaida ni jero huku VIP ikiwa  ni 1500.

Lengo kubwa ni kuona mashabiki wanaingia kwa wingi katika mchezo wa leo ambao ni wa maamuzi kwa timu hiyo kushuka daraja ama kupata nafasi ya kucheza play off ama kubaki moja kwa moja.

Coastal Union ipo nafasi ya 14 ina pointi 37 inakutana na Kagera Sugar, Uwanja wa Mkwakwani,  Tanga.

Kagera Sugar ipo nafasi ya 11 ina pointi 40 nayo pia inahitaji pointi tatu muhimu ili kuweza kujihakikishia nafasi ya kubaki ndani ya ligi.

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA DODOMA JIJI UWANJA WA MKAPA MO ATIA TIMU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply